Rose Nutrition Life
Mfumo wa Rose Nutrition Life unalenga kukuza afya kwa kutoa elimu juu ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile kisukari, shinikizo la damu, saratani na matatizo ya moyo. Unasisitiza ulaji bora, mtindo sahihi wa maisha na uelewa wa tiba. Pia, unawawezesha wanachama kupata kipato kupitia mpango wa biashara unaohusisha rufaa za wagonjwa, mauzo ya dawa na virutubisho. Huu ni mfumo wa kuunganisha afya na ujasiriamali kwa manufaa ya jamii. Anza nasi
HUDUMA MATANGAZO
MAGONJWA
Disease Image
TANGAZO LA UGONJWA
Picha
Video
afya ya uzazi
Maelezo ya Ugonjwa
Tatizo la afya ya uzazi ni hali inayoathiri uwezo wa mwanaume au mwanamke kupata watoto au kudumisha afya ya viungo vya uzazi. Linaweza kuhusisha homoni, mbegu, mayai, mfuko wa uzazi au mzunguko wa homoni. Tatizo hili linaweza kuwa la muda au la muda mrefu kulingana na chanzo chake.
Dalili ya Ugonjwa
Dalili hutofautiana kati ya wanaume na wanawake. Kwa wanaume ni pamoja na kupungua kwa nguvu za kiume, mbegu chache au dhaifu, na maumivu ya sehemu za uzazi. Kwa wanawake hujumuisha hedhi zisizo sawa, maumivu ya nyonga, uchovu wa mara kwa mara, au ugumu wa kupata mimba.
Visababishi vya Ugonjwa
Tatizo la afya ya uzazi linaweza kusababishwa na maambukizi, magonjwa ya zinaa, mabadiliko ya homoni, msongo wa mawazo, lishe duni, au mtindo mbaya wa maisha. Matumizi ya pombe, sigara, kemikali hatarishi, pamoja na magonjwa ya muda mrefu pia yanaweza kuathiri afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake.
Tiba ya Ugonjwa
Katika kusaidia afya ya uzazi, baadhi ya watu hutumia Gyrophora tea, Broken Ganoderma, Soybean, na Vitamin E kama virutubisho. Hivi husaidia kuboresha mzunguko wa damu, kusaidia homoni, kuongeza kinga ya mwili, na kulinda seli za uzazi. Matumizi yake yafanyike kwa ushauri wa mtaalamu wa afya.
Kuhusu Zaidi
Afya ya uzazi inahitaji mchanganyiko wa lishe bora, mtindo mzuri wa maisha, na ufuatiliaji wa kiafya. Matumizi ya virutubisho vya asili yawe ni nyongeza, si mbadala wa matibabu ya hospitali. Uchunguzi wa mapema na elimu sahihi husaidia kuzuia madhara makubwa na kuboresha ustawi wa familia.
MADAWA
TANGAZO LA DAWA
Picha
Video
Spirulina
Maelezo ya Dawa
Spirulina ni aina ya alga ya kijani ya baharini yenye virutubisho vingi ikiwemo protini, vitamini, madini na antioxidants. Inajulikana kwa kusaidia kuboresha mfumo wa kinga, kuondoa uchovu, kulinda moyo, kuimarisha mmengenyo wa chakula, kuondoa sumu mwilini, kudhibiti sukari, kuboresha afya ya akili, na kuongeza mzunguko wa damu. Pia husaidia kupunguza uzito, kuponya vidonda na kupunguza maumivu mwilini. Spirulina ni asili, salama na inaweza kuongezwa kwa urahisi kwenye mlo wa kila siku.
Tiba ya Dawa
Spirulina inapatikana kwa fomu ya vidonge, poda au capsules. Inatumika kwa kuchanganya na maji, juisi au smoothie, au kuchukuliwa moja kwa moja kama vidonge. Inashauriwa kuanza kwa kipimo kidogo kisha kuongeza taratibu ili mwili uyazoe. Kutumia Spirulina mara kwa mara husaidia kuongeza kinga, kuimarisha moyo, kudhibiti sukari, kuondoa uchovu na sumu mwilini, pamoja na kuboresha mzunguko wa damu. Ni suluhisho rahisi, salama na lenye virutubisho kamili vya mwili.
Gharama ya Dawa
71000.00
Kuhusu Dawa
Spirulina inaweza kuchanganywa na lishe nyingine za protini, mboga mboga na matunda. Inasaidia kuongeza nguvu, kudumisha afya ya moyo, akili na mmengenyo wa chakula. Ni salama kwa watu wazima na watoto, na haina madhara makubwa kama inavyotumika kwa kipimo sahihi.
Dawa Zengine
VIPIMO
TANGAZO LA KIPIMO
Picha
Video
Quantum Magnetic Resonance Analyzer
Maelezo ya Kipimo
ni kifaa cha uchunguzi wa mwili kinachotumia(magnetic waves mechanism) na umeme kupima hali ya jumla ya mwili. Huchanganua taarifa za mwili kupitia mkono au kidole, kisha kulinganisha matokeo na hifadhidata ya kiafya ili kutoa ripoti ya mwenendo wa afya, mabadiliko ya mwili, na hali ya mifumo mbalimbali kabla ya dalili kuonekana wazi.
Tiba ya Kipimo
Kifaa hiki hufanya kazi kwa kuchukua mwitikio wa (magnetic waves) katika seli za mwili na kuyalinganisha na viwango vya kawaida vilivyohifadhiwa kwenye mfumo wake. Tofauti zinapobainika, huonyesha uwezekano wa changamoto au maradhi. Mfano kama Diabetes (Kisukari), Hypertension (Presha), Liver dysfunction (Matatizo ya ini), au Poor circulation (Mzunguko hafifu wa damu). Hii husaidia kuelewa chanzo kinachowezekana cha mabadiliko ya mwili kabla ya ugonjwa kuimarika. Hivyo husaidia Tabibu wa afya kutoa Dosage iliyo imara kwa tutoa suluhisho la maradhi husika.
Suluhisho la Kipimo
kifaa kitaonyesha mabadiliko yanayohusiana a maradhi mbalimbali mfano High blood sugar (Sukari nyingi kwenye damu), huchanganua pia mifumo inayohusika kama kongosho na mmeng’enyo wa chakula. Kupitia taarifa hizi, hutumiwa na mtaalamu kuelewa mechanism ya tatizo, kama usawa wa nishati au upungufu wa virutubisho, hivyo kuelekeza suluhisho kwa kutumiwa Dozi(Dosage) ya kuutiba maradhi husika pia kutoa marekebisho ya lishe, mtindo wa maisha, au ufuatiliaji wa kiafya unaofaa.
Gharama ya Kipimo
30000.00
Kuhusu Kipimo
Mechanism ya magnetic hufanya kazi kupitipia mawasiliano ya moja kwa moja na seli za mwili, kwani kila seli ina masafa yake ya asili. Kifaa hupima mabadiliko ya masafa hayo bila kuingilia mwili. Tofauti za masafa huashiria mabadiliko ya kimetaboli au kiutendaji, na hivyo kutoa picha ya hali ya afya kwa ujumla hivyo kumpa daktari uwezekano wa kutibu changamoto ya kiafya kwa uhakika na kwa ubora.
Vipimo vingine
BIASHARA
VITUO VYETU
MADUKA YETU
MIHADHARA
TAARIFA
Fahamu zaidi Mfumo huu kupitia Marejesho ya Ujumbe wa watumiaji

Hakuna Ujumbe Wowote

No Our Team details available yet.